Burudani

DJ Khaled amechaguliwa kama Host tena kwenye tuzo za HipHop za BET Mwaka huu

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Dj Khaled amechaguliwa KuHost tuzo za HipHop za BET 2017,

Khaled ametoa shukrani zake na kusema ni furaha kubwa kufanya kazi hii tena, na ni sehemu kubwa ya kutoa heshima kwa wanaojituma zaidi kwenye HipHop.

Ukiacha kuwa Dj Khaled  ni Host, ila staa huyu ana wania tuzo 9 mwaka huu pamoja na wasanii kama Kendrick Lamar.

Tuzo za HipHop za BET 2017 zitafanyika The Fillmore Miami Beach, Jackie Gleason Theater mjini Miami, Florida mnamo  October 6.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open