Burudani

Picha,Dj Khaled,Rihanna, Bryson Tiller wafanya video Miami….  

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kuachia colabo yake na Drake, Dj Khaled yupo Miami akifanya video na wasanii Rihanna, Bryson Tiller. Video hii ni ya colabo yao kwenye album ya Grateful.

Colabo ya Riri na Tiller ni sample ya wimbo waCarlos SantanaMaria Maria,” kutoka kwenye album yake ya mwaka 1999 Supernatural.

Grateful inatoka June 23.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open