Burudani

Dj Khaled kaongea kuhusu FOUR, kipindi kipya cha kutafuta vipaji.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Dj Khaled ambaye kwa sasa anajipanga kuanza show kubwa aya Tv ya kutafuta vipaji ya FOUR akiwa na majaji Charlie Walk, Mwimbaji wa Pop Meghan Trainor na mmiliki wa lebo ya Bad Boyss Sean “Diddy” Combs.

Dj Khaled anasema “FOUR Ni kama American Idol ila utafauti wake ni kuwa badala ya kuanza na wasanii zaidi ya 1000, tutaanza na wachache , tutawafundisha sisi na watapambana mbele za watu katika vigezo vya kuwa msanii bora wa kizazi hichi, itakuwa show kubwa sana kwenye Tv”.

Show hii ni kama Bongo Star Search ya Tanzania.

#StoriBy Melisa #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open