Burudani

Video, Dj Khaled ana zaidi ya pea 10000 za Sneaker, anapoziweka…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Sneaker kali ni sehemu ya tamaduni za maisha ya mastaa wengi duniani, Wasanii kama Chris Brown , Lil Wayne wameajiri watu kwaajili ya kufuatilia Sneaker na raba gani mpya madukani ili waende sawa na mitindo mipya ya viatu hivi.

Dj na Producer maarufu Duniani Dj Khaled anamiliki zaidi ya pea 10000 ya Sneaker na anasema alikosa mahali pakuziweka na kuamua kubadilisha chumba chake cha wageni kuwa chumba cha Sneaker Tu.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open