Burudani

DJ Khaled atoa kauli ya mwisho kuhusu beef na Birdman, kutapeliwa na Cash Money…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya Rick Ross kusema kwenye wimbo wake wa “Idols Become Rivals.” kuwa Birdman amemsababishia maumivu sana Dj Khaled na kumtapeli pesa zake, Dj huyu maarufu kwa kuleta wasanii pamoja kwenye colabo kubwa amefunguka….

Kwenye kipindi cha BreakFast Club, DJ Khaled amesema >Kwanza sina beef na Birdman au Cash Money, sisi ni marafiki,nataka niwe wazi hapo, naomba sana watu waweze kuzungumza na kuweka mambo sawa >>Nina mapenzi ya kutosha kwa Birdman na Slim, walinipa nafasi na nashukuru kwa yote waliyofanya, haijalishi kilichotokea baadae<

Khaled alivyoulizwa kuhusu utapeli wa Birdman, alisita kuongelea biashara zake kwenye radio ila alikiri kuwa anawapenda wote akimaanisha, Rick Ross, Birdman na Slim.

Album mpya ya Khaled #Grateful inatoka June 23.
Video,Amber Lulu amkataa Shilole, atoa kauli ya mwisho kuhusu Mahusiano na Young Dee, je kweli kalala na Prezzo….

Exclusive, Stereo Afunguka kuhusu kujiunga WCB WASAFI, Aliyesababisha Colabo na Rich Mavoko,Nani mkali kati ya Godzila Na Wakazi ?

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open