Burudani

Dj Khaled atangaza album mpya ,Kuitwa ‘Grateful’,wasanii watakaoshiriki wako hapa…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kwenye mkutano na vyombo vya habari Dj Khaled ametangaza ujio wa album mpya na ya 10 kutoka kwake. Album hii imepewa jina #Grateful,”

Jina la album hii limetokana na mapenzi ya watu kwake na kwa kazi zake….

Kwenye uzinduzi wa jina hilo palikuwa na wasanii kama Busta Rhymes, Kent Jones, P Diddy na Chance the Rapper.

Mwaka jana Dj Khaled alitoa album yake ya Major Key, ambayo kwa sasa inawania tuzo ya Best Rap Album kwenye tuzo za Grammys zinazofanyika Jumapili Feb. 12.

Mpaka kwenye album hii ya 10 kutakuwa na wasanii ka Chance, Travis Scott, Mariah Carey, Bryson Tiller, Future na Alicia Keys.
Kwenye gari, Diamond alivyompokea Zari….

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open