Burudani

DJ Khaled ametangaza ujio wa colabo yake na Drake

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

DJ Khaled ametangaza ujio wa colabo yake na Drake, wimbo huu umeitwa “To the Max.” na kava la wimbo ni picha ya mtoto wa kiume wa Dj Khaled ‘Asahd’.

Wimbo huu upo kwenye album ya Dj Khaled Grateful ,humo watasikika wasanii kama from Beyoncé, Jay Z, Drake, Justin Bieber, Chance the Rapper, Lil Wayne, Quavo, na ,Rihanna.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open