Burudani

DMX amepewa adhabu ya kifungo cha ndani baada ya kufeli vipimo vitano vya dawa za kulevya

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa DMX amepewa adhabu ya kifungo cha ndani baada ya kufeli vipimo vitano vya dawa za kulevya ikiwa ni siku chache tu baada ya kuvunja masharti ya dhamana yake kwa kusafiri nje ya mji wa New York na kwenda kusalimia familia mjini  St. Louis .

Kwenye vipimo hivi DMX amekutwa ametumia Marijuana na St. Louis , Jaji pia amempa adhabu nyingine ya kuvaa Ankle Monitor ili kujua alipo muda wote

DMX anakabiliwa na mashataka 14 ya kukwepa kodi ya dola milioni moja na akikutwa na hatia anaweza kuhukumiwa kifungo cha miaka 40

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open