Burudani

Baada ya kumaliza matibabu rapa DMX amejitolea kubaki SOBER HOUSE kwa siku 30

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa mkubwa wa hiphop DMX ambaye kwa sasa amekuwa na hali nzuri baada ya mwezi mmoja kwenye SOBER HOUSE ameamua kabiki humo ili hali yake iwe bora zaidi.

Wakili wa DMX Murray Richman, Amesema mteja wake amebadilika kabisa na kuwa binadamu tena, kilo 20 zimeongezeka, ameomba kubaki Sober House kwa muda wa siku 30 tena,

Hivi karibuni DMX Alifeli vipimo vya matumizi ya dawa za kulevya mara nne na alikuwa kwenye kifungo cha ndani kutokana na kesi yake ya kukwepa kodi ya takriban dola milioni 1.7, akikutwa na hatua atatumikia kifungo cha miaka 40 jela.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open