Burudani

Picha, Drake kwenye skendo kubwa na huyu mwigizaji wa Kike Hollywood

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwigizaji wa kike mwenye nyota ya kuja kuwa staa mkubwa Hollywood Bria Vinaite aliyeigiza kwenye filamu ya The Florida Project amekanusha kuwa na mahusiano na rapa Drake.

Bria Vinaite ameongea na New York Post nakusema “Drake amependa filamu yangu, hilo tu, mimi na yeye ni marafiki tu,sitaki mwanaume kwa sasa kwenye maisha yangu, niko makini na mimi tu”

Imeripotiwa kuwa Drake alianza kumtongoza staa huyu kwenye DM Yake baada ya kumuona kwenye maigizo katika TIFF mwanzoni mwa mwaka huu na walipiga picha pamoja iliyokuwa na ujumbe wa “If @champagnepapi likes #TheFloridaProject that means you gotta see it!!! In theaters Oct 6th 😊❤️🙏🏼 @thefloridaproject.

Tunavyomjua Drake , heeeeeeeeee Sio mtu wa kuacha Nyama Kama Hiiii

Bria Vinaite

Izzo Bizness Azungumzia Shavu La Coke Studio Africa, Awasifia WCB Kwa Kunyaka Colabo Na Rick Ross

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open