Burudani

Drake ashangaza mashabiki wake kwa kupuuzia tuzo za Grammy mwakani.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Drake ameshangaza mashabiki wake baada ya kupuuzia tuzo za Grammy na kuamua kutopeleka album yake ya ‘More Life’ katika mchakato wa tuzo hizo.

Chanzo kinachoaminika kimethibitisha kuwa Drake hajapeleka album hio, hajapeleka nyimbo kutoka kwenye album hio kwaajili ya tuzo za Grammy mwakani, hana mpango wa kuwania tuzo hizo mwakani.

Drake,31, amewania tuzo za Grammy mara 35 na kushinda mara tatu tu, Best Rap Album (2011’s Take Care), Best Rap Solo Performance na Best Rap Song (“Hotline Bling”).

Drake aliwahi kulalamikia tuzo hizi akikosoa

-Kuitwa Black Rapa sababu tu amewahi kufanya rapa ila nyimbo kama HotLine Bling sio ya Rap
-Alikosoa wimbo wa ‘One Dance’ ambao anauita ni wimbo wa Pop kutowekwa kwenye tuzo,

Drake alisema anataka kuwa kama Michael Jackson na hizo nyimbo alizofanya ni nyimbo za Pop, hajawahi kupewa sifa kwa kuzifanya.

Wanaowania tuzo za 60 za Grammy Awards watatajwa Nov. 28, na tuzo kufanyika Jan. 28 katika New York, Madison Square Garden.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open