Burudani

Picha, Drake ni kama Shilole,akikupenda anajichora tattoo yako….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Drake anazidi kuwa na tabia za Shilole za kujichora watu anaowapenda,sura au majina yao .

Baada ya rapa huyu kuwa na tattoo ya wazazi wake,Aaliyah na Sade, Drake amechora tattoo ya sura ya Lil Wayne kwenye mkono wake wa kulia.

Mwanzoni mwa mwaka huu Drake alimuahidi Celine Dion kuwa atachora tattoo yake pia.

Bonge La Nyau Amlipa Baraka Da Prince Ili wafanye Colabo

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open