Burudani

Picha, tattoo mpya za Drake, aongeza moja ya msanii Sade Adu

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa wa Young Money, Drake ameongeza tattoo nyingine kwenye mwili wake, tattoo hizi ni ya msanii Sade Adu, msanii Aaliyah, Mama yake mzazi , Uncle wake na Bibi yake.

Video,Amber Lulu amkataa Shilole, atoa kauli ya mwisho kuhusu Mahusiano na Young Dee, je kweli kalala na Prezzo….

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open