Burudani

Picha, Drake alivyothibitisha mapenzi yake kwa Beyonce,

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Wiki hii rapa Drake amekuwa kwenye vichwa vya habari baada ya kuweka picha Instagram ikimuonyesha akiwa studio na uwepo wa picha kubwa yenye sura ya BEYONCE Ukutani.

Blog za HipHop zinasema Picha hii kubwa ya Beyonce inaonyesha jinsi gani Drake anaheshimu mchango wa Beyonce kwenye muziki, rapa huyu tayari ana tattoo ya marehemu Aaliyah.

Picha ya Beyonce ukutani kwake ina ukubwa wa Futi 6

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open