Burudani

Picha,Dulla Makabila athibitisha kuwa na mahusiano na Husna Sajent….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii maarufu wa muziki wa Singeli Dulla Makabila amethibitisha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Husna Sajent

Kwa mujibu wa IG Post yake staa huyu wa Singeli ameandika

Achatu dunia ijue Jinsi gani Umeniweza Nakupenda Sana Mke Wngu @husnasajent_  Wewe Ndo Mmiliki Alali Wa Furaha Yangu !!!!! #KamaInaumaChomoa#DemuWakoNambaNgapi. . ▶ Tuma Video Yako 0714828791

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open