Burudani

Ndio wimbo #1 kwenye billboard wiki hii,hii video yake Ed Sheeran ‘Shape of You’enjoy…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Muingereza Ed Sheeran ambaye mwaka huu ameweka rekodi mpya ya kuwa msanii wa kwanza duniani kuweka nyimbo mbili kwa wakati mmoja kwenye topten ya chati za billboard ametoa video mpya ya wimbo wake ulioweka rekodi hio.

Wimbo huu ulishika namba moja kwenye chati za billboard kwenye wiki yake ya kwanza ilipotola “Shape of You.” itazame hapa.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open