Burudani

Picha, Elton John na Mume wake walipewa hichi kifaa cha ngono kama zawadi kutoka kwa Eminem

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kwenye Interview weekend hii msanii mwenye heshima na ushawishi mkubwa duniani Sir Elton John ameongelea zawadi aliyopewa na Eminem baada ya kufunga ndoa na mume wake.

Elton anasema baada ya kufunga ndoa na mume wake David Furnish tulipokea kifaa cha ngono kinachoitwa ‘Cock Ring’ ambacho mpaka sasa hatujaanza kukitumia.

Eminem na Elton John waliwahi kufanya show pamoja na kuimba wimbo wa “Stan” katika tuzo za Grammy za mwaka 2001 na baada ya hapo walikuwa marafiki.

#StoriBy Melisa #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open