Burudani

Album mpya ya Eminem Imekamilika, asema producer Denaun Porter

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Producer anayefanya kazi na Eminem kwenye album yake mpya amethibitisha kuwa album ya Tisa ya Slim Shaddy imekamilika.

Producer Denaun Porter amefanya hivi kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram akiwa Live nakusema anaitazama sasa album mpya ya Eminem na imekamilika.

Denaun Porter ni Producer na rafiki wa karibu wa Eminem, Album hii mpya itakuwa ya kwanza toka mwaka November 5 2013 alipotoa ‘The Marshall Mathers LP 2’.

Kwa sasa Eminem yupo Busy na promo ya filamu ya HipHop na Freestyle ya BODIED.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open