Burudani

Eminem amsajili rapa Boogie kwenye lebo ya Shady Records

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

HipHop staa Eminem amemsajili rapa Boogie kwenye lebo yake ya Shady Records

Boogie anafahamika kwa kutokaa kwenye ngoma za The Game, kwa wimbo wake wa “Nigga Needs”na kusifiwa na Rihanna alipomuita ‘Msanii wake mwingine anaye mpenda zaidi’.

Hivi karibuni Eminem aliteka vichwa vya habari baada ya kufanya Freestyle ya Kumdiss rais Donald Trump wa Marekani kwenye tuzo za BET Za HipHop 2017.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open