Burudani

Kuna swali kila msanii hapendi kuulizwa,hili hapendi EMINEM…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kila msanii na mtu maarufu duniani ana SWALI lake ambalo hapendi kuulizwa kabisa na ukitaka kumtibua basi uliza hilo swali ukiwa unajua hataki kuulizwa.

Kwa msanii wa HipHop kutoka Marekani EMINEM yeye ni mtu asiyefanya interviews sana, mara chache hufanya mahojiano pale anapo husika kwenye filamu au album mpya…

Eminem anasema hapeni kuulizwa ‘JE UNAMPANGO WA KUSTAAFU KUFANYA MUZIKI ? .

Eminem huulizwa hili swali takriban kila interview anayofanyiwa sababu ya tabia yake ya kupotea kwenye muziki na kurudi kila baada ya miaka miwili au mitatu….

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open