Burudani

Kevin Hart na mke wake Eniko Parrish wametoa jina la mtoto wao wa kiume

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwigizaji Kevin Hart na mke wake Eniko Parrish wametoa jina la mtoto wao wa kiume kabla hajazaliwa.

Kenye party ndogo katika beach ya Calamigos huko Malibu Kevin na familia yake wamefanya Baby Shower na kutoa jina la mtoto wao.

Mtoto wao wa kiume ataitwa Kenzo,

Ata baada ya tabasamu zote bado Kevin Hart anazungukwa na skendo kubwa ya kumsaliti mke wake na mwanamke aliyerekodi tendo hilo na sasa anadai pesa.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open