Burudani

#BreakTheInternet Picha aliyopost Ex wa Sugu, Faiza Ally alivyokuwa leba akijifungua mtoto wake wa pili

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa mitandao ya kijamii, Mama mtoto wa msanii wa HipHop na Mbunge wa Mbeya Mjini #Sugu ambaye kwa sasa ni Ex wake Faiza Ally amekuwa gumzo mtandaoni baada ya kuweka picha yake aliyopigwa akiwa anajifungua mtoto wake wa pili.

Picha hii ilipigwa akiwa leba.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open