Burudani

Ndoa ya Fergie wa The Black Eyed Peas yavunjika baada ya miaka nane

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Ndoa ya msanii aliyekuwa kwenye kundi la The Black Eyed Peas, Fergie na mume wake Josh Duhamel imevunjika baada ya miaka nane pamoja.

Fergie na mume wake wametoa tamko maalum kwa vyombo vya habari kuwa ni uamuzi wao kutengana na kwamba bado ni marafiki na wanaheshimiana.

Fergie, 42, na Duhamel, 44, walikuwa pamoja kama wapenzi kwa miaka mitano, walifunga ndoa Malibu mwaka 2009, wana mtoto wa kiume wa miaka minne Axl Jack

Hivi karibuni Fergie amerudi kwenye muziki kama solo Artist na album yake ya Double Dutchess, inayotoka Sept. 22 ikiwa ni album yake ya kwanza toka 2006 The Dutchess.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open