Burudani

Fid Q kafunguka kuhusu David Beckham kupost picha bila kusema Yupo Tanzania…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Hizi twit za staa wa Hip Hop Tanzania Fid Q leo May 2 2017, zinahusu baadhi ya watu kulalamika kuwa mwanasoka kutoka Uingereza David Beckham kupost picha akiwa TZ bila kuandika IG kwa watu wake kuwa yupo Tanzania, kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti.

  

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open