Burudani

Floyd Mayweather achepuka na Striper Wa club yake ya Girl Collection.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Wiki Hii bondia Floyd Mayweather ameonekana na mwanamke asiyejulikana huko Beverly Hills wakila bata baada ya kushinda pambano lake na bingwa wa UFC Conor McGregor.

Floyd alitumia zaidi ya dola $250 kumnunulia vitu vya thamani bidada huyu ambaye imejulikana kuwa ni STRIPER Maarufu nchini Marekani.

Striper huyu anaitwa Red Rose La Cubana, hufanya kazi kama mwanamitindo na dancer kwenye Strip Club ya Floyd Mayweather Girl Collection.

Red Rose ni Striper maarufu Marekani, ana followers milioni Moja Instagram, Magazeti ya udaku humuita “The Biggest Stripper In America.”

Je Red Rose na Floyd Ni Marafiki Tu ?

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open