Burudani

Forbes Top 5 ya mastaa waliofariki na bado wanatengeneza pesa nyingi zaidi

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Forbes waetoa orodha ya watu maarufu waliofariki na bado wanatengeneza pesa kupitia familia zao na kazi walizoacha,

Michael Jackson amefariki miaka 8 iliyopita na mpaka sasa album zake za zamani na hata ya mwisho ya SCREAM bado zina mauzo makubwa.

Kwa miaka mitano mfululizo Michael Jackson anaongoza kwenye orodha hii, pesa hizi zinatoka kwenye mgawanyo wa mapato wa pesa za mauzo ya kazi zake kutoka ‘EMI Music Publishing Ltd‘ ya Uingereza na show yenye jina lake inayofanyika mjini Las Vegas, Cirque du soleil.

Hii Top 5.

1. Michael Jackson ($75 million)
2. Arnold Palmer ($40 million)
3. Charles Schulz ($38 million)
4. Elvis Presley ($35 million)
5. Bob Marley ($23 million)
#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open