Burudani

Forbes imetoa majina 100 ya watu maarufu waliolipwa zaidi mwaka 2017, #World100HighestPaidCelebritiesIn2017

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Sean ‘Diddy’ Combs ametajwa na Forbes kuwa mtu maarufu aliyelipwa zaidi mwaka 2017 akiwa ametengeneza dola za kimarekani milioni $130 kutoka June 1, 2016, mpaka June 1, 2017.

Forbes inasema mkwanja wa Diddy umetokana na Ziara ya muziki ya Bad Boy Family, hisa zake kwenye kinywaji cha Ciroc vodka na mauzo ya hisa za Brand yake ya nguo ya Sean John, alipokea dola milioni $70.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open