Habari

Freeman Mbowe asema afya ya Tundu Lissu imeimarika. Kwa sasa ametolewa ICU na atahamishiwa hospitali nyingine kwa matibabu zaidi.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Freeman Mbowe asema afya ya Tundu Lissu imeimarika. Kwa sasa ametolewa ICU na atahamishiwa hospitali nyingine kwa matibabu zaidi.

Mwenyekiti huyo wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni amesema kuanzia leo watatoa sauti pamoja na picha za maendeleo ya Tundu Lissu. .

Kiongozi huyo akaongeza kuwa CHADEMA wanaamini kabisa waliomdhuru Lissu wapo na wanajulikana. Wanaamini vyombo vya usalama vinawajua waliomshambulia Mbunge huyo.

Pia Tundu Lissu ni jirani wa Waziri, na kwasasa wamepata taarifa kuwa ile CCTV Camera iliyokuwepo eneo la tukio imeondolewa, na akahoji imeondoolewa na nani?

Hatuna imani na Vyombo vya Dola vya ndani si kama havina uwezo, ni kwa sababu havina dhamira.
Video, Diamond Platnumz anafanya video na Rick Ross Miami Marekani

#JamiiForums 

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open