Burudani

Mwanamke aliyebakwa kwenye show ya Drake na Future amefungua kesi dhidi ya mastaa hawa akidai dola milioni 25

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwanamke aliyebakwa kwenye show ya muziki ya Drake na Future amefungua kesi dhidi ya mastaa hawa wawili.

Mwanamke huyu asiyejulikana alifanyiwa tendo hili kwenye ukumbi wa Bridgestone Arena huko Nashville mwezi wa nane mwaka jana.

Mwanamke huyu anasema alichukuliwa na mfanyakazi wa ukumbi huo na kudanganywa ataenda kukutana na Drake na Future.

Mwanaume aliyefanya tendo hilo ametajwa kuwa ni Leavy Johnson ambaye kwa sasa ni mahabusu akisubiria kesi hio kusikilizwa.

Mwanamke huyu anadai dola milioni 25 kutoka kwa Drake na Future.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open