Burudani

Rapa Future apondwa na mashabiki baada ya kutangaza show mjini Las Vegas

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

 

Mashabiki wamponda Future na uongozi wake baada ya kutangazwa kwa show yake mjini Las Vegas Masaa 12 baada ya muuwaji Stephen Paddock kupiga risasi zaidi ya watu 59 na kujeruhi watu zaidi ya 500 kwenye Las Vegas Strip kwenye tamasha la muziki wa Country.

Matusi, kauli za kejeli na kupondwa kwa muziki wake zimejaa kwenye kurasa za Instagram na Twitter za rapa Future ata baada ya manager wake kusema Twitter hio ilipangwa kwenda hewani muda huo siku kadha zilizopita kabla tukio hilo halijatokea.

Future ana show kubwa mwisho wa mwezi wa kumi katika sikuku ya Halloween kwenye ukumbi wa Drai.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open