Burudani

Charlie Puth amechaguliwa kuwa jaji wa kipindi cha vipaji cha American Idol

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii Charlie Puth amechaguliwa kuwa jaji wa kipindi cha vipaji cha American Idol,atakuwa na jaji Katy Perry huku akisakwa Lionel Richie kujiunga.

Lionel Richie akikataa basi kazi hii atapewa Luke Bryan au msanii wa muziki kwa Country Keith Urban.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open