Burudani

Rapa The Game atoa kauli juu ya taarifa za kumpa Mimba binti wa miaka 15.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa kutoka Compton, USA The Game amezichana Blogs na vyombo vya habari vilivyo ripoti taarifa zake za kumpa mimba mtoto wa miaka 15.

The Game anasema “Stori hii ni ya uongo imetengenezwa na mtoto ambaye sijawahi kuongea wa kukutana naye kwenye maisha yangu, vyombo vikubwa vya habari viache kutoa taarifa za uongo ili kukuza kambuni zao”.

The Game pia amefunguka kwenye Instagram yake kuwa “Siko hapa kukubali uongo juu yangu, nacheka jinsi watu wengine walivyo wajinga, kufuatilia maisha ya watu, kutunga stori ili waonekane wajinga mwishoni”.

The Game mwenye watoto watatu ametuhumiwa kumpa ujauzito mtoto wa miaka 15 kutoka Uingereza

Mwaka Huu The Game amekuwa studio akirekodi album yake ya mwisho West Side Story,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open