Burudani

Baada ya Beyonce na Jay Z,hii familia nyingine ya star mkubwa inategemea kupata mapacha…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwigizaji mkongwe na mkubwa Hollywood George Clooney na mke wake Amal,wanategemea kupata mapacha.

Kwa mujibu wa Julie Chen kutoka “The Talk” ya Hollywood amesema George Clooney na mke wake Amal,wanategemea kupata mapacha na kwamba ni mtoto wa kiume na wa kike.

Amal ameonekana sehemu mbili akiwa na ujauzito hivi karibuni kwenye kurekodi show ya Netflix mjini London na alivyokuwa mjini Barcelona.

George na Amal walifunga ndoa mwaka 2014 baada ya George Clooney  kutupilia mbali maisha aliyoishi kwa muda mrefu ya Hollywood’s Most Notorious Bachelor.

Kwenye gari, Diamond alivyompokea Zari….

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open