Burudani

Gigy Money hataki mchezo na Jina lake, amtolea povu kali Afande Sele

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kwenye mitandao ya kijamii Tanzania kumeibuka BEEF jipya kati ya msanii mkongwe wa HipHop Afande Sele na Bongo Fleva Diva na Super Staa Tanzania GIGY MONEY.

Beef hili limeibuka baada ya post ya Afande Sele iliyosema >Njia nyepesi ya kulipoteza tabasamu hili pevu la baba wa taifa na kuligeuza kuwa kilio huko aliko ni kumwambia tu kwamba sasa hivi ktk ile nchi yake pendwa aliyoipigania kwa jasho lake lote kiuchumi,tamaduni na maadili kuna nyimbo tatu ziko juu sana na zinasikika kila kona kwa watu wa rika zote wqkiwemo watoto wadogo zinaitwa…1-Wowowoooo yaani makalio makubwa…2-Nampa Papa yaani nampa…๐Ÿ˜ท….3-Mwanaume mashine yaani ubora wa mwanaume ni ukubwa wa zakari yake tu na sio vinginevyo …Ole wetu….”

Baada ya Gigy Kupewa taarifa kuhusu Post hii na interview alizofanya Afande na kutaja jina lake Gigy naye aliandika maneno haya>>Wasanii wa zamani naomba mnipumzishe midomoni mwenu mana kila interview zenu mnanitaja taja mnikome kabisaaaa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜mnadhani mkiniongelea mm interview zenu zitamfikia Trump marekani mnanipa kiki tu kama hamjui afu makorodani yanawa ningโ€™inia au madada nyie???? MNIKOME Mana akili zangu sio nzuri ntawaaharibia wengine bada wakate nywele zao eti ushauri mxiuuuuuu pelekeni bangi zenu maskani uko ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜”

Beef Linaendelea…..

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open