Michezo

Hii ndio klabu kubwa ya English Premier League iliyotangazwa kuuzwa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mmiliki wa Klabu ya soka Newcastle United, Mike Ashley atangaza kuiuza timu hiyo. Asema uamuzi huo ni kwa maslahi ya wengi.

Ashley anategemea kukamilisha dili hili kabla ya Christmas mwaka huu, chini ya usimamizi wake uliodumu kwa miaka takribani 10 Klabu hiyo imewahi kushuka daraja mara 2 katika Premier League

Klabu hio imesema imefikia uamuzi huu ili timu ipate muongozo mpya.


Country Boy, Nikipata Colabo Na AliKiba Nitamuweka Kwenye Ngoma ya….

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open