Burudani

Gucci Mane atangaza ujio wa album mpya ‘DropTopWizop’

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kutoka jela mwaka 2016 Gucci Mane amekuwa miongoni mwa wasanii waliofanya kazi nyingi zaidi kwa muda mfupi kwenye rap mwaka jana.

Rapa huyu sasa yupo tayari kuuteka mwaka 2017 na tayari ametangaza ujio wa album mpya itakayoitwa #DropTopWizop

Mwaka jana alitoa album iliyoitwa The Return of East Atlanta Santa,

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open