Burudani

Tetesi, Hamisa kanunuliwa Prado, kuhamia Madale State House na Diamond, anataka kuzaa mapacha

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Taarifa zinazosamba kwa sasa kuhusu Hamisa Mobetto na Diamond Platnumz zimekuwa nyingi huku Udaku mwingi ukipatikana kwenye SnapChat zao

Kuna tetesi tatu kubwa kwa sasa zinazohusu Hamisa kununuliwa gari aina ya #Prado Land Cruise , Hamisa Mobetto Kuhamia State House, Nyumbani kwa Diamond Platnumz Madale, Na Hamisa kutafuta Mpacha na Diamond.

Maneno haya kwenye SnapChat yamezua tetesi kuwa Hamisa anataka Mpacha na Diamond 

Snap Hii imezua uvumi kuwa Hamisa kununuliwa gari aina ya #Prado Land Cruise na Diamond Platnumz ua Kasha nunuliwa

Na Snap hii kuhusu wapangaji imezua tetesi kuwa Hamisa Mobetto anampango wa Kuhamia State House na Diamond Platnumz

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open