Burudani

Povu la hasira kutoka kwa Diamond Platnumz kwa mpenzi wake ZARI, ni baada ya kuona hii picha….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Trouble In Paradise, Diamond Platnumz na Zari ni wazazi wa watoto wawili na kama watu maarufu maisha yao huzungukwa na skendo kibao…..

Leo mchana Diamond ameweka hii picha ya Zari na kutupia maneno makali kwa hasira,

Diamond Platnumz aliweka hii picha na kuandikaNdio maana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kusepa…. maana hawathaminikagi wala kuaminika hawa

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open