Burudani

Album 10 bora wiki hii kwenye chati ya billboard top 200.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Album ya 4:44 ya JAY-Z imeshikilia nafasi ya kwanza kwenye chati ya billboard hot 200 kwa wiki ya pili mfululizo Ikiwa ni wiki 3 toka imeachiliwa kwenye mtandao wa TIDAL.

BILLBOARD 200 TOP 10

1. JAY-Z – 4:44 – 61,000
2. Kendrick Lamar – DAMN. – 56,000
3. French Montana – Jungle Rules – 52,000
4. DJ Khaled – Grateful – 43,000
5. 21 Savage – Issa Album – 40,000
6. Ed Sheeran – ÷ – 34,000
7. Imagine Dragons – Evolve – 33,000
8. Various – Moana – 28,000
9. Khalid – American Teen – 28,000
10. Bruno Mars – 24K Magic – 28,000
Bonge La Nyau kaelezea alivyokatikiwa na Gigy Money, Alivyolewa na Kumbambia

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open