Burudani

Hamisa Mobetto amechaguliwa Kuwania Tuzo Za Starqt nchini South Africa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kupitia IG Yake Hamisa Mobetto ambaye kwa sasa anazungumzia sana Tanzania na Afrika Mashariki kama The new Baby Mama wa Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za Starqt nchini South Africa

Hamisa amechaguliwa kuwania tuzo mbili kwenye Category mbili ambazo ni
1. People’s Choice Award
2. Super Mum

Jinsi ya kumpigia kura, Bonyeza Hii Link www.starqt.com/awards  Inakupelekaaa Moja Kwa Mojaaaaaa Mpaka Katika Category Unashuka Unatafuta Ya PEOPLE CHOICE AWARDS
Una click☑ Pale Kwenye Jina La Hamisa Mobetto Alafu Chini Yake Kuna Neno Vote☑
NA unafanya Ivyo Ivyoo Katika Kipengele Kingine Nilichochaguliwa Cha SUPER MOM
Una Click☑ Katika jina la Hamisa Mobetto.

Ahsante❤

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open