Burudani

Picha,Harmonize anafanya colabo na star wa muziki Nigeria ‘Korede Bello’..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Picha hizi za Harmonize akiwa studio nchini Nigeria zimethibitisha kuwa ile colabo niliyomuliza sana Harmonize na msanii wa  muziki Nigeria ‘Korede Bello’ inafanyika sasa.

Itakuwa ni colabo bora sana Afrika sababu wasanii wote wawili wanatoka kwenye Lebo kubwa Afrika ‘WCB Wasafi’ ya Diamond Platnumz na ‘Mavin Records’ ya Don Jazzy.

Lebo zote zina mastaa wakubwa ukiacha wamiliki wake, WCB ina vichwa kama Rayvanny, Rich Mavoko, Queen Darlen, Huku Mavin ikiwa na watu kama Tiwa Savage,Reekado Banks

Jacqueline Wolper akimpa Busu mpenzi wake,wimbo wa Ali Kiba Unasikika

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open