Burudani

Harmonize anasema kuna silaha nyingi zinasubiri kutoka

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kupitia IG Yake staa wa Bongo Fleva Harmonize kutoka WCB Wasafi anasema kuna silaha za kutosha kwenye akiba yake.

Picha akiwa kwenye location ya video nyingine inaonekana na ujumbe huu.. “Too Many Weapons in the Stock! 🔥”

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open