Burudani

Kutoka IG ya WCB Star Harmonize, ni taarifa kuwa anategemea kupata mtoto wake wa kwanza….#Hongera

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kutoka IG ya bongo fleva Super staa Harmonize, ni taarifa kuwa anategemea kupata mtoto wake wa kwanza.

Post yake Instagram leo June 4 2017  Inasema Mnh! nawaza huu mchanganyiko wa damu ya kimakonde na ya kizungu sijui itatuletea mwana gani… asa nikiona kakomwe hapo, kananistua😁…Chonde mtoto chukua vyote kwangu ila kwenye rangi jitahidi uibe ya mama yako…..!!! nikavimbe Mtwara 😊

#NewCoupleAlert,Wema Sepetu na Freeman Mbowe,maongezi yao ya simu yaliyosamba mtandaoni……

Sauti ya Wema Sepetu akikanusha Kumrekodi Mh Freeman mbowe, asema labda ni mke wake au…

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open