Burudani

Ujumbe wa Harmonize kwa mpenzi wake Sarah katika Birthday yake

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Ikiwa leo ni siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake Harmonize ‘Sarah’ staa huyu wa bongo fleva ameandika ujumbe huu mfupi kwaajili ya mpenzi wake.

Katika Instagram yake Harmonize Ameandika >HAPPY BIRTHDAY SARAH WANGU NAKUPENDA KILA HATUA YA MWANAUME BASI KUNA MWANAMKE IMARA PEMBENIYAKE UMEKUWA MSTARI WA MBELE KUNISUPPORT NA KUNIONGEZEA MAARIFA JITIHADA NAKUPENDA @sarah__tz MTAFUTE MTU AKUTAFSILIE MINISHAMALIZA 🙈 #911TAREHE 9/11/2017

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open