Burudani

Baada ya kifo cha Prodigy, Havoc athibitisha ujio wa album mpya ya Mobb Deep

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kifo cha Prodigy msanii aliyebaki kwenye kundi la Mobb Deep, Havoc amethibitisha ujio wa album mpya ya kundi hilo mwaka huu.

Havoc anasema “Najaribu kuweka kumbukumbu muhimu kwaahili ya kundi, najua atapenda hili, nimerikodi album mpya tayari, itatoka kabla ya mwisho wa mwaka huu”.

Kabla ya kifo chake Prodigy alifanya interview na kusema kuna muziki mpya ya Mobb Deep unakuja mwaka 2018,

Prodigy Aka Albert Johnson alifariki mwaka jana mjini Las Vegas kwa kugua sickle-cell anemia.

Aslay Awajibu Wanaomlinganisha na Alikiba na Diamond! Amkana MX Carter kuwa Meneja wake!

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open