Michezo

Anderson Hernanes aondoka Juventus na kwenda Hebei China Fortune.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kiungo wa timu ya taifa ya Brazil Anderson Hernanes de Carvalho ’31’ ameiaga klabu ya Juventus na kujiunga na Hebei China Fortune inayocheza Chinese Super League kwa ada ya Pound milioni 8.5.

Anderson Hernane aliwahi kuichezea Lazio na Inter Milan amejiunga kwenye klabu hio na Gervinho, Stephane Mbia  na Ezequiel Lavezzi.

Hebei China Fortune kwa sasa inasimamiwa na aliyekuwa meneja wa Manchester CityManuel Pellegrini‘ na kwa sasa wanafanya mazoezi Marbella, Spain wakisubiri ligi ya Chinese Super kuanzza mwishoni mwa February.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open