Burudani

Picha, Mkenya Huddah The BossChick kwenye Instagram ya Rick Ross, Sababu….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mkenya Huddah The BossChick  amekuwa Talk Of The Town Afrika Mashariki baada ya kuonekana kwenye kurasa ya Instagram ya Rapa Rick Ross wiki hii.

Rick Ross ameweka picha ya Huddah akiwa pembeni mwa kinywaji cha Luc Belaire kama balozi mwenzake wa kinywaji hichi.

#SammisagoNEWS

 

Weka Comments Hapa

Open