Burudani

Ice Cube; nilipewa nafasi ya 2 Pac kwenye filamu ya Poetic Justice,nilikataa sababu….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Ice Cube amefunguka kuhusu nafasi kubwa za filamu alizopewa miaka ya zamani na kuzikata.

Kwenye mahojiano haya Ice Cube amesema alipewa nafasi ya kuigiza kwenye filamu ya Poetic Justice mwaka 1993 na kuikataa, Ice anasema hakuwa tayari kuigiza kwenye filamu ya Mapenzi wakati huo.

I didn’t feel ready to play in a romantic film at that point” Cube alisema.

Poetic Justice ilikuwa na mastaa kama Janet Jackson, Tupac Shakur ,Regina King na Joe Torry.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open