Burudani

Ujumbe wa Idris Sultan baada ya Zari kuandamwa kuwa hana majozi wala kulia kwenye msaiba wa Mama yake..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kwenye IG Tanzania pamekuwa na stori tofauti kuhusu kukosekana kwa machozi na uso wa majozi kwenye muonekano wa Zari baada ya kifo cha mama yake mzazi nchini Uganda.

Picha za Zari na Diamond msibani ziliandamwa na comment zenye maswali ya kwanini Zari haonekani mwenye uzuni. Baada ya comment nyingi juu ya swala hili, mchekeshaji maarufu Idris Sultan alimpa Zari ujumbe huu.

Ujumbe wa Idris unasema >>Fanya chochote ila usiache kulia msibani 😅 hawa wabongo wanahesabu hadi machozi na high tone na low tone za mlio wa mfiwa. Utasikia “Pale amepanda key yupo soprano anakuja bass sasaivi then sauti ya 3” #SioHabari

Exclusive,Mambo matano aliyosema Director Khalfani Baada ya kufanya kazi na Harmonize Wa WCB Wasafi

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open