Burudani

Idris Sultan asema yuko SINGLE,

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Weekend hii Mtangaziji wa Tv na Radio [Choice FM na Clouds Tv] Idris Sultan amehudhuria uzinduzi wa filamu ya Heaven Sent akiwa na Wema Sepetu na kuibua maswali kuhusu kurudiana Naye, Alivyoulizwa alijibu….

Nani Uko naye kimahusiano >Mimi siko na mtu yoyote kimahusiano, I M SINGLE 

Imekuaje mmeamua kuingia pamoja wewe na Wema >“Niliona Amepost ana taka Date Mimi ikasema nampitia, sikuona haja ya kumuomba kwenye Date ama nini, nikaamua kumpitia,Ni mwanamke mzuri nikaamua kumitia , kwa bahati nzuri nikakuta hakuna mtu kampitia zaidi yangu ama labda walitimuliwa”

#StoriBy #Melisa  #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open